Saturday, 31 January 2015

TEACHING AT SIFA GROUP FOUNDATION CHILDREN CENTRE


video inawaonesha watoto ambao hawakuwahi kusoma, wakiwa darasani wakipewa elimu ya awali

SINGING AT THE SIFA GROUP FOUNDATION CHILDREN CENTER


 hawa ni watoto yatima na wale waishio katika mazingira magumu video yakwanza inawaonesha wakiwa wanaimba






Friday, 23 January 2015

BAADHI YA MATUKIO YA MWAKA JANA KWENYE KITUO CHA SIFA GROUP FOUNDATION

watoto wa sgf wakichekiwa afya yao na mwanajeshi wa marekani

mtoto akiwa mwenye tabasamu baada ya kufurahishwa na mwalimu

watoto wakiwa wenye furaha baada ya kushiba ubwabwa