| Nikita paul akiwa na mkurugenzi wa kituo sifa john |
| hapa nikita alikiwa anasoma neno la bwana. |
| hapa mtumishi wa bwana kutoka kanisa la ukombozi tegeta alikwa akihubiri kuusu yatima |
| dada alice akiwatambulisha rafiki zake aliokuja nao |
| hapa star wa bongo movie navida akiongea jambo kwa uchungu |
| star wa bongo movie navida akizungumza jambo |
| hapa mtumishi wa bwana kutoka kanisa la ukombozi akisisitiza na kuhamasisha watu waweze kusaidia yatima |
| mke wa rado na navida wakiwagawia watoto juis za kijoti |
| navita akiwagawia watoto jius |
| star wa bongo movie navida akiwagawiya watoto kinywaji |
| navida na mke wa mbongo movie rado wakigawa vinywaji |
| mke wa star wa bongo movie rado akigawa vinywaji kwa watoto |
| watoto wa sifa group wakiwa wanakunywa juis |
| watoto wakiwa wanakunywa juis |
| hapa mastar wa bongo movie mkurugenzi wa sgf wakiwa kwenye picha ya pamoja na watoto |
|
|
|
|
|
| mkurugenzi wa sgf na mke wa star wa bongo movie rado wakiwa kwenye picture ya pmoja |
| nikita na navida wakiwa kwenye picha moja na watoto wa sifa group foundation |
| star wa bongo movie nikita , mkurugenzi wa sifa foundation sifa john , dada alice na star navida pamoja na mchungaji wakiwa kwenye picha ya pmoja |
| nikita mke wa rado na sifa john |
| nikita mke wa rado na sifa john |
| mkurugenzi sifa john, star wa bongo movie navida akiwa pamoja na mumewe |
| mkurugenzi sifa john, star wa bongo movie navida akiwa pamoja na mumewe |
| picha watoto wakiwaombea wageni wao kwa upako mkubwa |
| watoto wa sifa group wakiwafanyia watoto maombi |